Makapuku Forum

Nikiamini Kaupukuz ni familia kubwa mno si mbaya nikileta kwenu hili. Nauza gari Rav4 iko kwenye hali nzuri tu kwa yeyote anayehitaji karibu sana tufanye biashara. Bei ni M 13, Kilometer 147,000, Automatic na Imelipiwa kila kitu.Ila kwa kapuku itapungua kwa jinsi tutakavyoelewana. Unaweza ukaja PM tukamalizana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…