Siwapendi hawa viumbe🙆Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na matukio ya mbwa wa kufungwa majumbani kuwashambulia wamiliki wake huku sababu mbalimbali zikitajwa ikiwemo kichaa.
Akizungumza na Mwananchi Digital, mtaalamu wa mifugo, Joseph Ndalu amesema sababu za mbwa kuwashambulia wamiliki wake zinatofautiana kulingana na mazingira.
Amesema utamaduni wa kufuga wanyama hao kiholela na kwa mazoea ni sababu kuu.
Ndalu ametaja sababu nyingine kuwa ni ugonjwa wa kichaa cha mbwa, kutopewa chanjo na dawa za kuua vimelea wa nje na ndani ikiwamo minyoo, kutopewa chakula kwa wakati na kwa ujazo unaohitajika, kufanyishwa michezo wasiyoipenda na kuanzisha mazingira hatarishi kwa kiumbe huyo.
View attachment 2869714
[emoji1787] watumiaji wa wereva mna uvumilivu sanaaaaNinayo hii inajizimikia tu yenyewe ikijisikia, ina miaka 6.
[emoji1787] mwenyewe nimebaki kushangaa tuUliongezeka wapi huko?
Kweli nitakuletea🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata sijui nacheka nini
Me jamani acha nibaki na ushamba wangu tuSiwapendi hawa viumbe[emoji134]
Nilikuwa siuoni uzi🤣Yaani jana sijui nini nilijisahau lakini kweli nilitaka nikucheck auntie yangu kwema mbona sikuoni makapuku jamaniii nisamehe mimi kwa kuwa na mambo mengi
[emoji1787] daahKweli nitakuletea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787]Nilikuwa siuoni uzi[emoji1787]
Nipeni hela, nawaahidi sitawaangusha🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nakuelewa vyediii auntie hushindwiiii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamanii auntie si useme sasa [emoji1787]
Tunakuwa kama tunabet eenh [emoji1787][emoji1787]Nipeni hela, nawaahidi sitawaangusha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Madaktari wetu hawa hawa uhoji😳😳😳Ukishamaliza matibabu, dawa unazopewa na wataalamu wa afya umewahi kuhoji au kujiuliza ni za aina gani, zitasaidia nini na zinaweza kukupa athari gani baada ya kuzitumia?
Watafiti wamechambua hilo na kubaini wataalamu wa afya wamekuwa wakitoa dawa nyingi za antibaotiki kwa wagonjwa tofauti na kiwango kinachotakiwa kimataifa, huku zile za mstari wa tatu na nne ambazo hazishauriwi zikitumika.
Hali hiyo imetajwa kusababisha ongezeko la usugu wa vimelea dhidi ya dawa za antibaotiki mwilini ‘Antimicrobial resistance AMR’.
Hiyo ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (Muhas) zilizoonyesha Tanzania imefikia matumizi ya asilimia 88.0 kwa dawa za antibaotiki kinyume na mwongozo uliowekwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) unaoelekeza nchi zitumie asilimia 20.0 hadi 26.8.
View attachment 2869717
Auntie bwana niambie basiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣[emoji1787] watumiaji wa wereva mna uvumilivu sanaaaa
Ila auntie nyie si ndio tuliambiwa kipato chenu ni mamilioni!! Itakuwa huko tanuruni[emoji1787] mwenyewe nimebaki kushangaa tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora nitumie kitorch mara mia wereva hapana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna kama wereva