Mwanza wanatabia ya kufunga ziwa week nzima kupisha dagaa kukua nadhani hili ndo chanzoHuenda ukawa umeshtushwa na upungufu wa dagaa unaojitokeza kwenye baadhi ya masoko jijini Dar es Salaam.
Mwananchi jana iliweka kambi katika katika Soko la Kimataifa la Samaki Ferry na kubaini ndoo moja ya lita 20 ya dagaa mchele imepanda kutoka wastani wa Sh40,000 hadi Sh70,000 ndani ya wiki mbili zilizopita.
Kutokana na mazingira hayo, wafanyabiashara wa dagaa wa kukaanga katika magenge jijini hapa wamesema bei ya fungu la Sh1,000 haitabadilika, isipokuwa wamelazimika kupunguza wingi wake.
View attachment 2817753
Alieyegundua ugali dagaa moja kwa moja peponi semaa atakaaa nyuma ya aliyegundua chai ya rangi na kiporo cha wali😅😅😅😅jokes kidogoChakula changu pendwa😭😭
🤣🤣🤣🤣Alieyegundua ugali dagaa moja kwa moja peponi semaa atakaaa nyuma ya aliyegundua chai ya rangi na kiporo cha wali😅😅😅😅jokes kidogo
Kiporo cha wali upi sasa? Wali maharage au wali kisamvu ?Alieyegundua ugali dagaa moja kwa moja peponi semaa atakaaa nyuma ya aliyegundua chai ya rangi na kiporo cha wali😅😅😅😅jokes kidogo
Hiyo hatari ya kutoa sumu kwa njia za asili ni ipi auntie?Magazeti ya leo November 19, 2023.View attachment 2818395
🤣🤣🤣🤣 hao hata vita watakimbia hao.Wanafunzi 88 waliojiunga na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) mkoani Arusha, wameshindwa kumaliza mafunzo kwa sababu mbalimbali ambapo kati yao, 14 wadaiwa kuyakimbia ambapo mhitimu hutunukiwa “Shahada ya Kijeshi.”
Hayo yamebainishwa katika mahafali ya leo Jumamosi Novemba 18, 2023 ambapo maofisa wanafunzi 575, wametunukiwa Kamisheni na Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan na hivyo kuvishwa vyeo vya Luteni Usu.
Akitoa taarifa ya mafunzo hayo, Mkuu wa chuo hicho, Brigedia Jenerali Jackson Mwaseba amesema kulikuwa na makundi mawili wa wanafunzi ambapo katika kundi la 04/20 la maofisa wa wanafunzi wa shahada ya Sayansi ya Kijeshi, waliojiunga na chuo walikuwa 73 huku 62 ndiyo walifanikiwa kuhitimu.
View attachment 2818406
Kwani ni Mwanza hii au Dar?Mwanza wanatabia ya kufunga ziwa week nzima kupisha dagaa kukua nadhani hili ndo chanzo
Dagaa pia wanatoka mwanzaKwani ni Mwanza hii au Dar?
I know, ila nikajua dagaa wanaoongelewa hapo ni wa huko dasilama.Dagaa pia wanatoka mwanza
Kiporo cha wali maharage na chai ya rangi ....hujawai kula??🤣🤣🤣🤣
Mie wali sio mpenzi kihivyo, kwahiyo wa ugali dagaa bado anakaa siti ya mbele.
Aah sawaa sawaaI know, ila nikajua dagaa wanaoongelewa hapo ni wa huko dasilama.
Wali maharage mkuuKiporo cha wali upi sasa? Wali maharage au wali kisamvu ?
Nimewahi sana tu.Kiporo cha wali maharage na chai ya rangi ....hujawai kula??
Nadhani utaungana nami katika hiliNimewahi sana tu.
Hapana🤣🤣🤣Nadhani utaungana nami katika hili
Una DNA za kisukuma Mkuu😅Hapana🤣🤣🤣
Mie ubwabwa sio kiviiile.