Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Weeeh!! Acha kufananisha kichwa changu na cha huyo shindikana.Mmekutana wote wawili![]()
Kweli mimi jambazi ?Sitakii poker baki naye wewe bora huyu jambazi niliyemzoea kuliko kiumbe kipya![]()
Weeeh!! Acha kufananisha kichwa changu na cha huyo shindikana.


Pwagu na pwaguzi ila me nawapenda hivyohivyo
Au shuny anipe ruksa ya wewe kudate masaa 4 tuone kama tutawezanaWeeeh!! Acha kufananisha kichwa changu na cha huyo shindikana.
Kwelii umenichokaa ...nishakuwa pwagu mimi au pwaguziPwagu na pwaguzi ila me nawapenda hivyohivyo
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametajwa kuwa mrithi sahihi wa Hansi Flick baada ya kutimuliwa katika timu ya taifa ya Ujerumani. Uamuzi huo umefuata Ujerumani kupokea kichapo cha mabao 4-1 ilichopata Ujerumani katika mechi ya kirafiki dhidi ya Japan, juzi.
Au shuny anipe ruksa ya wewe kudate masaa 4 tuone kama tutawezana
Mtawezana bwana me natoa ruksa
Wakiachana atarudi tu hapa mwisho wa reli
Hivi haya mambo ya kupeana wapenzi bado yapo nauli akupe poker si ndio unayempenda
Mnitumie nauli🤣Ukirudi dar naweka mpya
Hivi haya mambo ya kupeana wapenzi bado yapo nauli akupe poker si ndio unayempenda




Wakiachana atarudi tu hapa mwisho wa reli
Ata sijui nacheka nini