Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,630
...binamu yako akupendaye habari yangu ni nzuri sana na ninafurahi kuulizwa khali nawe. Naamini uko poa kabisa na wikend popote ilipoanzia ilikuwa poaHabari yako Binamu?
...binamu yako akupendaye habari yangu ni nzuri sana na ninafurahi kuulizwa khali nawe. Naamini uko poa kabisa na wikend popote ilipoanzia ilikuwa poaHabari yako Binamu?
Good morning P, habari za Jumapili?
😂 Espy kwaio umesusa kuja kasalimu ndugu zako?Good morning P, habari za Jumapili?
Sina nauli ndugu zangu, fanyeni wepesi basi😂😂😂 Espy kwaio umesusa kuja kasalimu ndugu zako?
Asante sana binamu yangu...mara zote unajua ni nzuri kuwepo hapa sababu wewe upo aunt yangu.
Jukwaa hili linakuwa tamu upande wa magazeti na je wajua kwa sababu wewe hujawahi kutuangusha kwa kelele ama kimya kimya
Morning P umeamkaje
Auntie yangu nimekumiss mnoooGood morning P, habari za Jumapili?
Auntie si unajua uzi unapoteaga😂😂😂Auntie yangu nimekumiss mnooo
Auntie si unajua uzi unapoteaga
Miss you more!
Unakuja au nikuijie?


Huu uzi unapoteaga kwako tu auntie fanya kunijia tu hakuna namnaSi unaona sasa🙆🙆🙆🙆Huu uzi unapoteaga kwako tu auntie fanya kunijia tu hakuna namna
Nimekuwire na 100k ya nauli hope itatosha au niongeze espy.Huh!! Sio mpesa🙆🙆🙆
Haitoshi😂Nimekuwire na 100k ya nauli hope itatosha au niongeze espy.