🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅Waziri wa Kazi, Ajira na Uhusiano wa Viwanda Nchini Uganda, Charles Okello Engola ameuawa asubuhi hii kwa kupigwa risasi na Mlinzi wake (Bodyguard), Spika wa Bunge la Uganda Anitha Among amethibitisha Bungeni leo.
Tukio hilo limetokea asubuhi hii ambapo imeripotiwa kuwa Waziri Okello alikuwa anatoka nyumbani kwenda kazini ambapo ghafla Mlinzi wake alimpiga risasi kisha akaanza kupiga risasi juu huku akikimbiakimbia Mtaani, Majirani wamesema Mlinzi huyo alisikika akisema hajalipwa mshahara kwa muda mrefu licha ya kufanya kazi na Waziri huyo.
Inaripotiwa kuwa Mlinzi huyo baadaye aliingia Saluni moja iliyopo Jirani na nyumba ya Waziri kisha akawataka waliokuwa ndani kutoka nje na akajifungia na kujipiga risasi na kufariki pia.
View attachment 2607239
Sidhani kama litawezekana hiliANCELOTTI UHAKIKA BRAZIL
.
Rais wa Shirikisho la Soka la Brazil [emoji1054] Ednaldo Rodrigues ameripotiwa kuwa na uhakika mkubwa wa kumchukua kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti kwenda kuinoa timu ya taifa ya nchi hiyo.
.
Ancelotti ni chaguo la kwanza la makocha wanaopigiwa hesabu za kwenda kukinoa kikosi cha Selecao baada ya Tite kuachia ngazi zilipomalizika fainali za Kombe la Dunia 2022 huko Qatar.
View attachment 2607286
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila Morrison.....MORRISON alipigwa marufuku na Idara ya Uhamiaji ya Sauzi kuingia nchini humo tangu mwaka 2017 alipohusishwa na wizi wa Gari, hivyo atakosekana katika mchezo wa marudiano CAFCC. [emoji419]View attachment 2607278
Baba Two!!!!Sidhani kama litawezekana hili