Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe unasomaga kimyakimya magazeti nilikuwa sina mpango wa kuweka nimekuwekea kwa heshima yako yasome sasa
Habari za Yanga na Arsenal, hayo mataptap mengine labda mtu chake atasoma[emoji1787][emoji1787]. Halafu hujanijibu, nani alikuweka mtu kati ewe binti mweupe[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…