Makapuku Forum

Auntie tutauza yale madini ya Shingoni.... Woiiii....
Hata Vibubu tutavivunja kabla ya muda....
[emoji1787][emoji1787] Hapana aiseee siuzi sababu ya kubusu twiga nitaendelea kuwaona kwa kina nandy na kajala madini yanauzwa nikiwa na shida haswaaa kimfaacho mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…