Makapuku Forum

Hahaahah nilinunua hivyohivyo halafu ni mtumba hiyo gauni kuna siku tu natembea nikakutana na boutique iko na magauni mazuri sana ndio kwenye kuchagua nikalikuta auntie
Ulibahatisha Auntie
Ila mtumba ukiupata.....Wueeeh!!!...Mwenyewe unaweza usiamini kama ni mtumba...

Mimi nina yangu nilijipatiaga Ilala huko....Yananifaa sana...Kwa nyakati za matukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…