Makapuku Forum

Kumbe ni mirinda nyeusi na biskuti ulifuata[emoji134][emoji134][emoji134]
Uko na shida mingi sana.
...na hiyo mirinda nyeusi sio kwamba wanakupa take away, ni ile ya chupa, unakunywa pale pale uimalize uwaachie chupa yao.
Huwa nnaenda na chupa tupu ya maji ya uhai, namimina humo biashara imekwisha. Toa damu, Okoa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…