Makapuku Forum

...hapana, sijafanya hivyo anko, nilijaribu kuingia na gia ya ulokole nikakosea nikaenda nimevaa kanzu na barghashia afu nikajisahau nikanywa bia ila nikakataa kula mdudu, sijaaminika sababu ya wewe ulivyomfanyia mdogo wake
Kisa chote mdogo mtu alinambiaaa🤣🤣🤣🤣🤣,,,ankoo shikamoooooo kwani kule kwenye baridi ulijua kuna uwezekano wa kulala peke yakoo?
 
"Gunia la mkaa kutoka kwa mtu anayekata mkaa ni elfu 10, ikija huku sokoni ni elfu 80, hawa wananchi wataweza? maisha ni magumu sana, ningeomba na sisi wabunge tupewe laki moja na hamsini tukakae mbagala mwezi mmoja na watoto wanne tuone kama tutaweza" - Jumanne Kishimba
 
Sema huyu mzee wachache uwa wanamuelewaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…