Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Bado nipo nipo sanaHivi jimena unalala sa ngapi mkuu....au upo zamu
Bado nipo nipo sanaHivi jimena unalala sa ngapi mkuu....au upo zamu
Asante kwa kuntoa ushamba hapoHapana Ximena / Jimena ni jina moja inatamkwa Himena (spanish haiongopi)
Prezdaa heshima kwako mkuuBasi aitwe KACHURA
![]()
![]()
![]()
........
Mkuu kwema?Usiku mwema.
Be blessed
Leo huendi kulee!Ni kweli kabisa
Team popo
Ni habari ya kweli mkuu!Rais Magufuli ametumbua jipu aisee ni waziri kitwanga
Chanzo BBC swahili
Usiku mwema.
Be blessed
Usiku mwema kwenu piaUsiku mwema kwa hisani ya chapombe kitwanga

Labda ke ila me hawezi itwa hivyoBasi aitwe KACHURA
![]()
![]()
![]()
........
Tuna kazi za usikuuu....ndio mda wake huuUsiku mwema kwenu pia
Mnawahi sana kulala na nyie![]()
![]()
Mzifanye salama kazi hizoTuna kazi za usikuuu....ndio mda wake huu
We huna kazi leo??? The boss ladyMzifanye salama kazi hizo
Fresh kabisa mpendwaHabali za humu wapendwa
nawe pia mkuuUsiku mwema.
Be blessed
nawe pia mkuuUsiku mwema kwa hisani ya chapombe kitwanga
njema mkuuHabali za humu wapendwa
Natambuwa kuwepo wako mkuunawe pia mkuu