Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 20, 2016 #40,161 Mayala masuka said: tukutanie viwanja vip mkuu? Click to expand... Kwa mama muuza
Cesar Senior Member Joined Apr 21, 2016 Posts 143 Reaction score 147 May 20, 2016 #40,162 Maisha yamekua magumu sana Attachments 1463761848970.jpg 17 KB · Views: 31
Mayala masuka JF-Expert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 449 Reaction score 795 May 20, 2016 #40,163 Hili jukwaa mbona leo watu hawapo why ? wameenda wap
Mayala masuka JF-Expert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 449 Reaction score 795 May 20, 2016 #40,164 Cesar said: Maisha yamekua magumu sana Click to expand... mshahara kiasi gani ?
Mayala masuka JF-Expert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 449 Reaction score 795 May 20, 2016 #40,165 Th Name said: Kwa mama muuza Click to expand... unanitia moyo sana th name!
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 May 20, 2016 #40,166 Mayala masuka said: Hili jukwaa mbona leo watu hawapo why ? wameenda wap Click to expand... Wewe sio MTU??? Si upo hapa....zamu yako
Mayala masuka said: Hili jukwaa mbona leo watu hawapo why ? wameenda wap Click to expand... Wewe sio MTU??? Si upo hapa....zamu yako
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 May 20, 2016 #40,167 G.Man said: Asante sana mkuu Click to expand... Mkuu....karibu chai
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 20, 2016 #40,168 Mayala masuka said: unanitia moyo sana th name! Click to expand... Hahahaha
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 May 20, 2016 #40,169 amaizing said: Sijui wamekula maharage ya wapi hawa..... Watajaribu kunipindua lakin hawatafanikiwaaaaaaa Uko poa shem??? Click to expand... Hah hii ndoa tuliisimamia na kuibariki....Hamna atakae wayumbisha... Mimi mzima Shem....leo nimepata sikukari karibu chai
amaizing said: Sijui wamekula maharage ya wapi hawa..... Watajaribu kunipindua lakin hawatafanikiwaaaaaaa Uko poa shem??? Click to expand... Hah hii ndoa tuliisimamia na kuibariki....Hamna atakae wayumbisha... Mimi mzima Shem....leo nimepata sikukari karibu chai
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 20, 2016 #40,170 Th Name said: Kama weekend ndo tayari imeshafika, Watu viwanjani tunamiminika, Click to expand... Tufurahi kwa pamoja wakati huu, Na kwa furaha turushe mikono juuuu
Th Name said: Kama weekend ndo tayari imeshafika, Watu viwanjani tunamiminika, Click to expand... Tufurahi kwa pamoja wakati huu, Na kwa furaha turushe mikono juuuu
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 20, 2016 #40,171 Mayala masuka said: Hili jukwaa mbona leo watu hawapo why ? wameenda wap Click to expand... Weekend leo.. Watu wanapata lite ya baridiii
Mayala masuka said: Hili jukwaa mbona leo watu hawapo why ? wameenda wap Click to expand... Weekend leo.. Watu wanapata lite ya baridiii
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 May 20, 2016 #40,172 Th Name said: Kama weekend ndo tayari imeshafika, Watu viwanjani tunamiminika, Click to expand... Pande za wapi mkuu
Th Name said: Kama weekend ndo tayari imeshafika, Watu viwanjani tunamiminika, Click to expand... Pande za wapi mkuu
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 20, 2016 #40,173 amaizing said: Tufurahi kwa pamoja wakati huu, Na kwa furaha turushe mikono juuuu Click to expand... R.I.p Ngwea
amaizing said: Tufurahi kwa pamoja wakati huu, Na kwa furaha turushe mikono juuuu Click to expand... R.I.p Ngwea
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 20, 2016 #40,174 sumbai said: Hah hii ndoa tuliisimamia na kuibariki....Hamna atakae wayumbisha... Mimi mzima Shem....leo nimepata sikukari karibu chai Click to expand... Asante shem Umepata kwa sh. Ngapi??
sumbai said: Hah hii ndoa tuliisimamia na kuibariki....Hamna atakae wayumbisha... Mimi mzima Shem....leo nimepata sikukari karibu chai Click to expand... Asante shem Umepata kwa sh. Ngapi??
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 20, 2016 #40,175 sumbai said: Pande za wapi mkuu Click to expand... Tunasubiri night kali
Mayala masuka JF-Expert Member Joined Jan 22, 2014 Posts 449 Reaction score 795 May 20, 2016 #40,176 sumbai said: Wewe sio MTU??? Si upo hapa....zamu yako Click to expand... AHSANTE!
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 May 20, 2016 #40,177 sumbai said: Ahaaaa haaa watajaribu ila Haata fanikiwa... Cc amaizing Click to expand... Hakika Watasubiri sanaaa
sumbai said: Ahaaaa haaa watajaribu ila Haata fanikiwa... Cc amaizing Click to expand... Hakika Watasubiri sanaaa
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 May 20, 2016 #40,178 Th Name said: R.I.p Ngwea Click to expand... Daaa apumzike kwa amani. Ngwair aka mimi
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 May 20, 2016 #40,179 Szczesny miss you sana
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 May 20, 2016 #40,180 Szczesny said: Abar zenyu makapuku wenzangu Click to expand... Njema habari ya wewe?? Likes zako zinasomeka ila wewe mwenyewe umekuwa adimu sanaaa
Szczesny said: Abar zenyu makapuku wenzangu Click to expand... Njema habari ya wewe?? Likes zako zinasomeka ila wewe mwenyewe umekuwa adimu sanaaa