nakupenda pia auntie akee
Nikuchekeshe umepita chart za juu jana auntie Espy Eroni alikuja hapa eti anataka iphone hataki tena vitenge.
Auntie nimeona..
Nilikuambia, ndugu yetu yule sijui amekuwaje? Eti anataka iphone
Mwambie atapata zile za Kikuu
Hizo hizoza laki na 80
Yaaaaani...haonekaniki etii..Mwenyewe nimemmiss baba wawili jamani sijui katekwa na nani
Haha nipo Shunie, hata sijatekwa... Nimekumiss pia shunieMwenyewe nimemmiss baba wawili jamani sijui katekwa na nani
Mara karudiana na ex wake sijui kumrusha roho mtu unikome we mbwaaa
Hizo hizo
Zile Mambo huwa zinanichekesha sana...
Kitu Imekaa kama iphone kabisa..ila bei sasa...Mwambie atanunuliwa hizo
Download tapatalk baba wawiliNipo rafiki yangu, natumia App kupata notifications ni changamoto kidogo..
Habari za uzima? Weekend yako ilikuwaje
Umepotea sana baba wawiliHaha nipo Shunie, hata sijatekwa... Nimekumiss pia shunie
Za Kikuu zimefanyaje
Auntie nimeona..
Nilikuambia, ndugu yetu yule sijui amekuwaje? Eti anataka iphone
Mwambie atapata zile za Kikuu
Tapatalk inapatikana wapi hii?Download tapatalk baba wawili
Nipo Shunie, huwa napita kimya kimya tu, nakusoma kwa mbaliUmepotea sana baba wawili