Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,667
Yaani inashindika unajikuta umezama na miguu yote miwili
Acha tu Auntie..Hata ukisema umpende mtoto wa Mtu ki Uongo Uongo Inashindikana..Mweh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app




Kumekucha...Shunie, nina shida na wewe please.


alivimiss nimemuwekea sasa














Atakuwa katekwa tu baba wawili sio kawaida yake hii
Najiandaa kuweka mlinzi
Yaani inashindika unajikuta umezama na miguu yote miwili![]()





Acha tu..Ashan'saidia tayari. Umechelewa aunty.
He he he he...Habu ajitokeze hata kwa likes tu..Atakuwa katekwa tu baba wawili sio kawaida yake hii
Mimi ndo najua utamu qake🤗🤗
Nakuelewa auntie




Sawa Steve...Hongera sana..Ashan'saidia tayari. Umechelewa aunty.
Hapana natafuta wa kwanguAuntie anafaa kuwa mlinzi au unamuonaje babe
Yaani ajitokeze tu jamani