Makapuku Forum

Auntie....
Hebu subiri kwanza!!!
Kwa hiyo huu Mwaka harusi tunayo au hatuna? Au kikubwa Uhai Auntie?


Sent using Jamii Forums mobile app
Auntie nimecheka sana sana kwakweli sijui naona kikubwa uhai tu mwenyewe nimejiona nimeshakuwa mchumba wa mtu hata sielewi nimefikaje fikaje kwenye uchumba

Akiona auntie yangu Espy Eroni atadai vitenge halafu mwambie asiniulize maswali sitaki
 

Mwenyewe nimecheka sana wakati naandika...
Na huyo Espy Eroni akiona utajua hujui Auntie..Na hivi anapenda zawadi huyo
Mdogo wangu yule sijui ana nini jamani


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…