Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Feb 19, 2022 #399,121 Shunie said: Iko poa kabisa we mzee Click to expand... safi km iko poa. Nataka nipate kichimbo /kipub fulani nitulie siku nzima
Shunie said: Iko poa kabisa we mzee Click to expand... safi km iko poa. Nataka nipate kichimbo /kipub fulani nitulie siku nzima
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Feb 19, 2022 #399,122 Shunie said: Hahahaah nafurahi kusikia hivyo we mzee kujua kwamba kuna watu wananipenda sana nikiwa sipo wanajua umuhimu wangu Click to expand... hahahaha!tuko wengi .mimi kiongozi wao, mwanzo mwisho
Shunie said: Hahahaah nafurahi kusikia hivyo we mzee kujua kwamba kuna watu wananipenda sana nikiwa sipo wanajua umuhimu wangu Click to expand... hahahaha!tuko wengi .mimi kiongozi wao, mwanzo mwisho
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Feb 19, 2022 #399,123 mtu chake said: safi km iko poa. Nataka nipate kichimbo /kipub fulani nitulie siku nzima Click to expand... Safi sana raha jipe mwenyewe we mzee tunaishi mara moja tu
mtu chake said: safi km iko poa. Nataka nipate kichimbo /kipub fulani nitulie siku nzima Click to expand... Safi sana raha jipe mwenyewe we mzee tunaishi mara moja tu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Feb 19, 2022 #399,124 mtu chake said: hahahaha!tuko wengi .mimi kiongozi wao, mwanzo mwisho Click to expand...
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Feb 19, 2022 #399,125 Tuko pamoja
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,791 Reaction score 86,541 Feb 19, 2022 #399,126 Shunie said: Click to expand... Acha ukorofi we dada hakuna anaepigwa ban bila ukorofi halafu na huku kupigwa sana ban inaonyesha we ni mke wa aina gani..!!!π
Shunie said: Click to expand... Acha ukorofi we dada hakuna anaepigwa ban bila ukorofi halafu na huku kupigwa sana ban inaonyesha we ni mke wa aina gani..!!!π
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Feb 19, 2022 #399,127 Shunie said: Safi sana raha jipe mwenyewe we mzee tunaishi mara moja tu Click to expand... ni kweli shangazi raha jipe mwenyewe.kwa raha zako
Shunie said: Safi sana raha jipe mwenyewe we mzee tunaishi mara moja tu Click to expand... ni kweli shangazi raha jipe mwenyewe.kwa raha zako
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Feb 19, 2022 #399,128 KENZY said: Acha ukorofi we dada hakuna anaepigwa ban bila ukorofi halafu na huku kupigwa sana ban inaonyesha we ni mke wa aina gani..!!!π Click to expand... shangazi yangu sio mkorofi.ila hapendi maujinga
KENZY said: Acha ukorofi we dada hakuna anaepigwa ban bila ukorofi halafu na huku kupigwa sana ban inaonyesha we ni mke wa aina gani..!!!π Click to expand... shangazi yangu sio mkorofi.ila hapendi maujinga
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,791 Reaction score 86,541 Feb 19, 2022 #399,129 mtu chake said: shangazi yangu sio mkorofi.ila hapendi maujinga Click to expand... Wewe ni shangazi yako Mimi ni mke wangu nani anaemjua zaidi..?π
mtu chake said: shangazi yangu sio mkorofi.ila hapendi maujinga Click to expand... Wewe ni shangazi yako Mimi ni mke wangu nani anaemjua zaidi..?π
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Feb 19, 2022 #399,130 KENZY said: Acha ukorofi we dada hakuna anaepigwa ban bila ukorofi halafu na huku kupigwa sana ban inaonyesha we ni mke wa aina gani..!!! Click to expand... Naona umeamua nilimwe ban tu
KENZY said: Acha ukorofi we dada hakuna anaepigwa ban bila ukorofi halafu na huku kupigwa sana ban inaonyesha we ni mke wa aina gani..!!! Click to expand... Naona umeamua nilimwe ban tu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Feb 19, 2022 #399,131 mtu chake said: shangazi yangu sio mkorofi.ila hapendi maujinga Click to expand... Asante sana jamanii
mtu chake said: shangazi yangu sio mkorofi.ila hapendi maujinga Click to expand... Asante sana jamanii
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Feb 19, 2022 #399,132 KENZY said: Wewe ni shangazi yako Mimi ni mke wangu nani anaemjua zaidi..? Click to expand... Khaaaaa
KENZY said: Wewe ni shangazi yako Mimi ni mke wangu nani anaemjua zaidi..? Click to expand... Khaaaaa
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,791 Reaction score 86,541 Feb 19, 2022 #399,133 Shunie said: Naona umeamua nilimwe ban tu Click to expand... Kuna namna ya kuzikwepa ngoja kwanza wakusurubu ndo utajua!
Shunie said: Naona umeamua nilimwe ban tu Click to expand... Kuna namna ya kuzikwepa ngoja kwanza wakusurubu ndo utajua!
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,791 Reaction score 86,541 Feb 19, 2022 #399,134 Shunie said: Khaaaaa Click to expand... Mambo Toto..π
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Feb 19, 2022 #399,135 KENZY said: Wewe ni shangazi yako Mimi ni mke wangu nani anaemjua zaidi..?π Click to expand... wewe unamjua zaidi
KENZY said: Wewe ni shangazi yako Mimi ni mke wangu nani anaemjua zaidi..?π Click to expand... wewe unamjua zaidi
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Feb 19, 2022 #399,136 Shunie said: Asante sana jamanii Click to expand... ngoja niwapishe muongee na mr.nitarudi baadae
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,791 Reaction score 86,541 Feb 19, 2022 #399,137 mtu chake said: ngoja niwapishe muongee na mr.nitarudi baadae Click to expand... Bora ubaki maana mjomba ukiniacha na huyu shangazi yako jua ban inatuhusu sikuhizi amekuwa na mitusi sijui anakibend tumboni..π
mtu chake said: ngoja niwapishe muongee na mr.nitarudi baadae Click to expand... Bora ubaki maana mjomba ukiniacha na huyu shangazi yako jua ban inatuhusu sikuhizi amekuwa na mitusi sijui anakibend tumboni..π
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Feb 19, 2022 #399,138 mtu chake said: ngoja niwapishe muongee na mr.nitarudi baadae Click to expand... We mzee usimsikilize huyo
mtu chake said: ngoja niwapishe muongee na mr.nitarudi baadae Click to expand... We mzee usimsikilize huyo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Feb 19, 2022 #399,139 mtu chake said: wewe unamjua zaidi Click to expand... Unanigeuka we mzee
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Feb 19, 2022 #399,140 KENZY said: Mambo Toto.. Click to expand... Sitakiii