Ndugu yangu utatoa kucha...nimekuona unapita kwenye konaaa
Mkuu humu hamna haja hata ya kuomba kumekupendeza we karibu tuHabari ndugu naomba kuwa mwanachama humu
Asante ndugu muheshimiwa,Mkuu humu hamna haja hata ya kuomba kumekupendeza we karibu tu
Wewe masharti yatokee wapi [emoji1787][emoji1787] umepapenda tuliaAsante ndugu muheshimiwa,
Humu hakuna mashariti?! Au tunaishi vyovyote tu
Asante binamu yangu na kwako piaMerry Christmas Makapuku.
Noel Njema watu wazuri wote huku mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo