Ni mimi hapaaaaa
Asante anko binamu kwa hii taarifa muhimu,sikujibu kwa wakat sababu ya kesi uliyonileteaa na uache hii tabia ,na mm mama ntilie wako nmemwambia sio kweli ulikuwa haujasafiri ila uliamua kumchunia ajilipie kodi kwanza...anko, kwa mujibu wa ramli chonganishi ambayo tu ndo kwanza nimemaliza kuiangalia hapa inaonekana kabisa Nigendako siyo ndugu yetu na ana nia mbaya sana na wewe, matatizo unayopitia ya kugonganisha wanawake kila mara na hujifunzi yeye anayafurahia badala ya kukusaidia.
Sasa tunafanyaje anko? Leo ni furahiday, hapa njoo pa siku ile ila usije na yule mwanamke MC maana anaongea sana alitaka kugombana na teller wako bila sababu za msingi.
Mengine jiandae maana mganga katoa masharti ya kimkakati
Asante kwa kushukuruAsante kwa magazeti mkuu shunie
Uko salama lakin mkuu ?Asante kwa kushukuru
Namshukuru Mungu vipi weweUko salama lakin mkuu ?
Mimi niko salama kabisa ...msalimie sana umpendaeeNamshukuru Mungu vipi wewe