Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naipenda sana makapuku forum najihisi nipo nyumbani mwenyewe [emoji4] nafanya ninachotaka na ninachopenda

Nitaenda thread ya nani kujinenea zangu kwa lugha kama ninavyofanya makapuku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumtaja babe wangu kama hivi [emoji847] si watanifukuza uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bangi itazuiliwa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…