Makapuku Forum

Huku wameolewa wote
 
Msindikizaji noma

Watu wawili walikwenda stesheni ya reli wakakuta tren ndio inaondoka

Ili kuiwahi wakaanza kuikimbiza mmoja akafanikiwa kuipata

Akabaki alieachwa akaanza kucheka kwa saut kubwa kiasi kwamba watu wakaanza kujaa kumuuliza kulikoni kicheko kile?

Mtu yule akajibu aliepanda alikua ananisindikiza mimi

Ilibidi umati uliomzunguka uungane nae kwenye kicheko yule jamaa alieachwa na treni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…