Na huku kinapiga kinakataHuku shwari na kuna kimvua furani kinakata joto
Ahsante mpenziPole mpenz...soon nafika kukupa joto joto
Umeshiba lakini?Ahsante mpenzi
πππ
Bado sijala nakusubiri weweUmeshiba lakini?
Ndo nilitaka nijue uchoyo umeuanza liniBado sijala nakusubiri wewe
Mkuu isije kuwa tunaishi jirani maana huku pia hivyo hivyo inanyesha kisha inakataNa huku kinapiga kinakata
Njoo tupate mkuuAhsante sana
Zavutia mnoo[emoji39]
Hahahahahaha inawezekana mkuuMkuu isije kuwa tunaishi jirani maana huku pia hivyo hivyo inanyesha kisha inakata
Shukria MpendwaNjoo tupate mkuu
Mkuu shemej yako kuwa na mipaka...π€π€π€π€Njoo tupate mkuu
Ngoja nimuonyee mapemaShukria Mpendwa
ππππ Baby bwanaNdo nilitaka nijue uchoyo umeuanza lini
πππππππππππππ
Mpenzi punguza wivuNgoja nimuonyee mapema
Najuaa make utashibajee sijakulishaaππππ Baby bwana
Chakula hakiwezi shuka bila wewe
Wivu lazima kwa wapendanaoooMpenzi punguza wivu
ππππππππππππππππππ
Ewaaaaah kukupenda ndo ninachojuaHapo Sasa mpenzi
π€
Ahsante kwa Upendo wako mpenziEwaaaaah kukupenda ndo ninachojua
ππππ nakujaaaaAhsante kwa Upendo wako mpenzi
Nakusubiri baby
Nimeshituka usingiziniEwaaaaah kukupenda ndo ninachojua