Makapuku Forum

Heri ya mwaka mpya mrembo wa makapuku Shunie. Kwetu mvua inadunda balaa hata kwenda ibadani haiwezekani.
Mwaka uwe heri kwako..
Mwambie sakayo namtakia heri ya mwaka mpya hata kama kaninunia
Ameen vinci
na kwako pia kipenzi

Mna baraka jamani na mvua

Huku ilipiga alfajiri kwa sasa imeacha

Salaam za sakayo zimefika vinci
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…