Siteseki hata ikitokea nimezimiss baba wawili ila sinywi jamaniUmenichekesha et ukizimiss unakunywa kwa kujificha.. Si unateseka sasa?
Niwacheeeeeee mamaYaani hatari hatari.. jirani, penzi limemvuruga huyu binti[emoji1]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mambo ni faya jirani [emoji23][emoji23]
[emoji1]niache sipendi kuitwa X bora uniite hata YSalamaaaa x wangu wa kwanza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani hatari hatari.. jirani, penzi limemvuruga huyu binti[emoji1]
Mie nimekuachaaa[emoji1745]Niwacheeeeeee mama
Baba wawili nimeachishwa pombe yaani acha tu nikizimiss nakunywa kwa kujificha Nina miezi karibia 6 sasa
Anko wajumbeeee wamenifanyaa nichange namba kwa mdaa....nyani mzee mimi anko, nimekwepa mishale na kuumia na kuumiza ni maisha. Anko nakutafuta sana sema ndo umebadili namba
Anko wajumbeeee wamenifanyaa nichange namba kwa mdaa
Sasa anko si unajuaa wa viti maalum wana vitu maalum na wao...wajumbe usiwasingizie, mbona nilikuona unawashawishi wale wagombea wa viti maalum?
Cheusi mangala, kibonge, mtoto mlito, hali yakoSafiiii baba wawili jamani za wewe apo nimekumiss tu mimi
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Karibuni chakula cha usiku, mihogo hiyo na mchuzi wa pwezaView attachment 1529286