Heshima yako binamu,salama huko?Maandalizi mazuri ya sikukuu wanajukwaa. Ndugu yenu sijambo na nimemalizana salama na mambo ya wajumbe.
[emoji3][emoji3]unajua kujihami... Hayaaa
Heshima yako binamu,salama huko?
[emoji3][emoji3]unajua kujihami... Hayaaa
Unalikes na kukaa kimya eti[emoji3][emoji3]asa hunielewi kwanini jamani
Nataka aongee anijibu binamu...vipi kama aki-like mara 2, utaweka au utaacha.
Uko mzima aunt yangu?
[emoji849]tena usinikumbushe.. ntakurukia sasa hivi ohoo....mpenzi wangu nijihami kwani umejua nilichofanya juzi wakati umeenda kwenye maombi?
[emoji3][emoji3]kwahiyo hupendiUnalikes na kukaa kimya eti
Kuna mahali niliona kaweka picha aisee [emoji3]Nataka aongee anijibu binamu
Niko mzima binamu hofu kwako tu
We mtu upo?kikubwaaaa uhai
Njemawapendwaaa habari za kutekanaaaaaa
Mi Niko poa
Mi Niko poa
[emoji849]tena usinikumbushe.. ntakurukia sasa hivi ohoo
Pole mpendwa...bora umekuja. Simu yangu mbovu
...tulia beibe, ninarudi mapema sana kabla hata jua halijakuchwa
Endeleeni tu mi naleas[emoji849]tena usinikumbushe.. ntakurukia sasa hivi ohoo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]nakuonaaa na kipoozeo chakoo...tulia beibe, ninarudi mapema sana kabla hata jua halijakuchwa
Hata usiporudi mi fureshi.. [emoji21]...tulia beibe, ninarudi mapema sana kabla hata jua halijakuchwa