Lee anko Asante kwa magazeti.
ningendako binamu nakuona na naamini ulikuwa na weekend tamu.
yna2 mapumziko mazuri na chochote utakachofanya basi lifanikiwe, kumbuka; face, tackle and finish a winner.
Wadau wote nawatakia j3 njema na wiki yenye mafanikio. Ndugu yenu j3 ina mambo matatumatatu na nayamudu.
Kwaresma njema