Eeh.. Kivuruge tena[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda pia kivuruge wangu
Hahahhaa baba wawili bwana huyo mtu ni kivuruge acha tu sijui angekuwa anakunywa pombe sijui ingekuwaje jamani
Mjombaa baharia,hapa ndio unapofeli[emoji23][emoji23]Hujanijib pm lakin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo kunywa hata bia moja basi! Baharia gani hata pombe hunywi!
Simjui bwanaMama D...
Ile account vipi?
Tutakumiss mwaya kibonge mwenzanguTuonane tena baada miezi miwili..muda na siku Kama hii.[emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Nawapendaga mjue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana huwa namwangalia na drama zakeMjombaa baharia,hapa ndio unapofeli[emoji23][emoji23]
Acha tu baba wawiliMjomba Baharia mbona sio kivuruge shunie[emoji23][emoji23]
Kuna kitu nilimuulizaaMjombaa baharia,hapa ndio unapofeli[emoji23][emoji23]
Zipiii jaman usimsikilizeeNdio mana huwa namwangalia na drama zake
Simjui bwana