Hivi alimalizana kweli na mama watoto..maana namuona mnyonge leoTaratibuuu mke make baba wawili atakuja kujinyongaa
Embu acha kututambia ...yanga tunawaoa leoSimba tunashinda kama kawaida yetu
Anayeteseka baba wawili
Ndio ninachotaka sababu anakutesa sana
Wachaaa tumpeeee salaaaaaam
Mnaongelea nini kwani?Salaaam anazo anajitoa ufahamu tu
Eti ni kweli Jana ulilizwa na obe?yeye mwenyewe tayali ameona comedy za mjombaa
Unakunywa nini?Umenifurahisha hii comment
Hahhaha ila unachangia kumwaribuyeye mwenyewe tayali ameona comedy za mjombaa
Haoni kwa nani eti mana sijawahi kuona mieNilazimishe tena? Yanakuja automatic,, huwa hauoni kwan
Asubutuuuuu hakunaga hiyo mshinde au mshangilie draw kama kawaida yenu
Tunakuongelea wewe baba wawiliMnaongelea nini kwani?
Unakunywa nini?Umenifurahisha hii comment
Ofa zangu sio kama za mjombaa mjanja mjanja.
TutaonaAsubutuuuuu hakunaga hiyo mshinde au mshangilie draw kama kawaida yenu
Tupo hapa tusikimbiane tu
Unakunywa nini?Umenifurahisha hii comment
Ofa zangu sio kama za mjombaa mjanja mjanja.
Jezi ninayooooo hapaaaaaaaaSimba nguvu moja
Hakulala kwakee jana kasingiziaa daraja limekatika amekosaa usafir
Wewe si shabiki wa Mbao mjombaa?umehamia Simba tayaliJezi ninayooooo hapaaaaaaaa
Agiza