Wanakujaaaa
Ooopsss!! Typing errorSiku ya comedy ukimanisha nini?
😂😂😂😂😂😂😂 yaaani wewe kama unaingiaa kwenye wale wapambe wa movie za kihindi alafu unakataaaOoopsss!! Typing error..kesho siku ya je! Wajua na pedeshzee Lee wa shunie
Sent using Jamii Forums mobile app
Stress zinakujaaa anko Obe kwanza kampiga kizinga cha elfu 47 asubh kumbe ndo pesa yake imetumikaa kuanziaa mchemsho mpaka gharama za gest...apa hana ata elfu 16 japo elfu 4 mia tano anaweza kuwa nayo
@obe anamjuaa vizuriiii...aiyaaaa..ana haki ya kuwa na stress..hivi ule wimbo wa wanaume tumeumbwa matesooo aliuimba Nani vile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulizee leo analala wapiii make mke mkubwa kajua alikoshindaa
😂😂😂😂😂😂😂 hapa ananiombaa nimfate alipoankali wako leo kazi anayo..pesa hana pa mke mkubwa pamewaka Moto..salaleee!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
yaaani wewe kama unaingiaa kwenye wale wapambe wa movie za kihindi alafu unakataaa
@obe anamjuaa vizuriiii...
Mtafute obe muende wote..hapa ananiombaa nimfate alipo
Ili nimkosee shuny wangu make nikiendaa huko lazma nichepukeee
Eehh kumbe mjomba alisema kweli eeh..Ili nimkosee shuny wangu make nikiendaa huko lazma nichepukeee
Stress zinakujaaa anko Obe kwanza kampiga kizinga cha elfu 47 asubh kumbe ndo pesa yake imetumikaa kuanziaa mchemsho mpaka gharama za gest...apa hana ata elfu 16 japo elfu 4 mia tano anaweza kuwa nayo
....ataenda mwenyewe, mimi naenda kwenye mkesha maombi ya mnyororo na nikimaliza naenda kumkanyagisha kondoo mmoja mafuta
....ataenda mwenyewe, mimi naenda kwenye mkesha maombi ya mnyororo na nikimaliza naenda kumkanyagisha kondoo mmoja mafuta
muonee huruma ankali wa Lee mwenzio hana pa kulala leo..walau nenda nae kwenye maombi ya mnyororo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupooo
.....anko, hiyo 47k alisahau kunitumia ya kutolea lakini nakushukuru uliniassist vilivyo.
Halafu hizi mambo nilijua utafanya kama tulivyokubaliana. Au binamu ningendako kakuchukiza kwa alivyokuzunguka kwa lile toto shombe la kichaga?
Unaweza kulala ?muonee huruma ankali wa Lee mwenzio hana pa kulala leo..walau nenda nae kwenye maombi ya mnyororo
Sent using Jamii Forums mobile app