wimbo bila shaka huu..Kugandana gandana, kuzuga tunapendana mwisho twaanza kuulizaba sitaki mila sizitaki nyama
wimbo bila shaka huu..
Ni wimbo mpya shunie?niko nausikiliza naenjoy wa aslaybaba wawili
Na we tatizo unawasikiliza sana wamarekani wako siku moja moja wasikilize na wabongo baba wawiliNi wimbo mpya shunie?
Hawezi kuitika ukimuita hivi,,Babe wangu Lee
Hahahaha shunie bwana, mimi nasikiliza nyimbo zote, hadi kwaya kasoro singeli tu hizo siwez sikiliza hata kidogo...Na we tatizo unawasikiliza sana wamarekani wako siku moja moja wasikilize na wabongo baba wawili
Akija mwambie nimemiss ile kiukwelu ukwelu yaniHawezi kuitika ukimuita hivi,,
Muite babe comedian uone kama hajatokea mbio mbio hapa
Ndio nimekuwekea sasa maana naona maswali yalizidi baba wawiliHahahaha shunie bwana, mimi nasikiliza nyimbo zote, hadi kwaya kasoro singeli tu hizo siwez sikiliza hata kidogo...
Ila hizi za kibongo nasikiliza pia, na vile hyo siku niwe nimeamka na mood gani tu
Ataona mwenyewe bwana,,nikimwambia atajimwambafai mnoAkija mwambie nimemiss ile kiukwelu ukwelu yani
Hahah sawa shunie, asante sanaNdio nimekuwekea sasa maana naona maswali yalizidi baba wawili
Shunie huyu huyu
Ataona mwenyewe bwana,,nikimwambia atajimwambafai mno
Mapenzi yana wenyewe, si wengine tuwache shobo tutazikwa wazima wazima
Love sweetheart wa moyo kabisaaa kipenzi wa mieeeeBabe wangu Lee
Hawezi kuitika ukimuita hivi,,
Muite babe comedian uone kama hajatokea mbio mbio hapa