Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salaam mkuu.
Mi mwenyewe hapo kabla sikuwahi kuona post ya Mkwepu jr popote, angalau kwa mara ya kwanza nimebahatika kukutana na post yake mahali hapa.
Kwakweli nimefarijika sana.
mkwepu jr nakusalimia mdau maana nimeona moudgulf kakuquote mahali ila mimi nimehangaika kuisaka post yako sijaiona. Anyway inawezekana ni sababu ya weekend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…