Makapuku Forum

Usipoteee hivi binamu
Sijapotea binamu, si unajua Januari ilivyokuwa na makusudi. Yule mtoto wa kusingiziwa walimu wamempa barua aniletee nilipe ada, mama mwenye nyumba kaachika so kodi kanidai kama tra.
Mangi ananidai hadi nimehama njia.


Kama uko vizuri hebu fanya assist nitakulipa nikiuza korosho zangu.

ningendako atanidhamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…