Vizuri kama yameisha salama baba wawiliNipo salama shunie, kuna mambo yalitokea ila kwa sasa kila kitu kinaenda salama..ni kumshukuru Mungu..
Haha,,, uzima upo lakini?
Upo kiasi, nilipata msiba,ila tumemsitiri salama,kazi yake Mungu siku zote huwa haina makosa..Vizuri kama yameisha salama baba wawili
Uzima upo sanaa baba wawili sijui upande wako
Haha haya bhana...mambo ni faya leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeanzaaa
Abeeeh THahahaaa...
Mama la mama
Pole sana baba wawili jamani Mungu awafanyie wepesiUpo kiasi, nilipata msiba,ila tumemsitiri salama,kazi yake Mungu siku zote huwa haina makosa..
Ni kushukuru kwa kila jambo
Safi moud habari yako
ShikamooooSure...This is true