Sijaona bado,,fanya msaada tutani bhasi
Hahahha hata ile anayochezesha chura umeiona binamu
Hahah dah binamu,,......nimeiona aunt, yaani kanichukiza sana, kiuno kizuri hajavaa hata shanga!!!??? Hivi huyu anafeli wapi !!!?
Hahaha huwez amini binamu,, sina connection kabsa,, hapa namsubiria mtoto mlito afanye msaada tutani...na ahahaha, binamu hujaziona kweli!? Nipo na imamu leo kanisimulia, kanikuta bar saa kumi namaliza kibarua
Huna connection kabisa binamu
Hahaha huwez amini binamu,, sina connection kabsa,, hapa namsubiria mtoto mlito afanye msaada tutani
Hahahah binamu fanya kunisimulia ntaunganisha doti mdogo mdogo....utasubiri sana binamu, hawezi kukugea maana anataka afaudu peke yake. Mimi ningekuwa na smartphone ningekurushia
Baba wawili upooHaha
Mwambie King Davet akutumie baba wawili kuna sehemu nilimuona anazielezeaSijaona bado,,fanya msaada tutani bhasi
...na ahahaha, binamu hujaziona kweli!? Nipo na imamu leo kanisimulia, kanikuta bar saa kumi namaliza kibarua
Huna connection kabisa binamu
Hahhahah binamu kuvaa shanga kipaji sio unajivalia tu......nimeiona aunt, yaani kanichukiza sana, kiuno kizuri hajavaa hata shanga!!!??? Hivi huyu anafeli wapi !!!?
Hahaha huwez amini binamu,, sina connection kabsa,, hapa namsubiria mtoto mlito afanye msaada tutani
Nipo shunie, habar za kwakoBaba wawili upoo
Ok sawa ngoja nimtafuta afanye mambo.Mwambie King Davet akutumie baba wawili kuna sehemu nilimuona anazielezea
Hahhaha bila connection huwezi ishi mjini baba wawiliNmeamini mjini connection aisee