[emoji23] [emoji23] [emoji23]Makapuku ninawazo ,kwanini hili kundi kubwa hivi lisiunde chama cha kusaidiana kama Saccos, yaani tukianza na 50,000 kila mtu kama ada ya kikundi ndani ya miaka 2..tunaweza kumiliki Treni yetu ya jiji la Dsm
Lakini vipi mkuu,, wakati humu tumetimia, kuna Bankers,wanasheria, police, wa chumi nk, tukiamua tunaweza[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mawazo mazuri lakini.
Safi braza. Jumapili inaendaje?niko poa mdau, mambo vp lkn?
Wote hao wapo, ila tatizo Mitazamo tunatofautiana.Lakini vipi mkuu,, wakati humu tumetimia, kuna Bankers,wanasheria, police, wa chumi nk, tukiamua tunaweza
Pamoja sana kiongoziSafi braza. Jumapili inaendaje?
Iko njema sana kaka. Niaje kwako?boss vp
njema sanaSafi braza. Jumapili inaendaje?
Labda na wewe ukiwemo hahahaa...Kama wewe.
Bila kusahau hapa nilipigania maslahi yenuMkuu alama ya [emoji106] tu basi ndo nnaiomba
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/15538271
Jpili Sir God anabariki ipo shwari.Morning brother.
Habari ya jpili.
Namfatuta police jamani.....!Lakini vipi mkuu,, wakati humu tumetimia, kuna Bankers,wanasheria, police, wa chumi nk, tukiamua tunaweza
Tupo pamoja kaka.njema sana
Teh teh teh....wana gan haoi..???
Bora yangekaa miguuni nijue mojaMimi ni tall na macho yako usoni, unataka yawe miguuni ili yasiwe juu?
[emoji3] afwande[emoji61]Namfatuta police jamani.....!
Any kapuku pm me
Tupo pamoja kaka.
Mkuu vipi? Nikuje pm[emoji3] afwande[emoji61]
Good morning [emoji7] [emoji7] [emoji7]Bora yangekaa miguuni nijue moja
Kwamba?Naona unaitangazia dunia ulivyo
No Papaa, mutu ya Palii mutu ya bolingoMkuu vipi? Nikuje pm
Good morning [emoji7] [emoji7] [emoji7]