Baba wawili niko apa sijazunguka wala mtoto mlito maana yake kibibi gagula, bi tukinao, yaan mbibi mtu mzimaHata sijajibiwa vyema ndugu yangu,namuona anazunguka tu mtoto mlito wa uzi [emoji16][emoji16]
Ndio ndio baba wawili na kuna King na kijana mpole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Heh
Hilo jina la Mkatalunya na wewe unalifahamu pia?hahah
Sema kweli jamani baba wawiliHahah mtoto flan hiviii,,mtoto mwenye rangi ya mtume??mtoto mwenye unywele kama wale wa nywele za Darlin [emoji2][emoji2]
Nitekwe na nani,niko nagaa gaa na upwa but mpaka now sijaambulia chochote zaidi ya kupotezewa
Anapenda kulialia huyuNani amekupotezea eti
Hahah sawa mtoto mlitoBaba wawili niko apa sijazunguka wala mtoto mlito maana yake kibibi gagula, bi tukinao, yaan mbibi mtu mzima
HehNdio ndio baba wawili na kuna King na kijana mpole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio mtoto mlitoSema kweli jamani baba wawili
Mkatalunya Cole Williams nakuona shem wangu mm [emoji847][emoji847]
Bro,mimi mwenyewe nimebaki nashangaa sijui amejulia wapi huyu hahaHii Mkatalunya, umeipata wapi Shem wangu
Acha tu,we chabo utamjua kiainaNani amekupotezea eti
mkwe umekua adimu kweli siku hizi 😃Anapenda kulialia huyu
Bro,mimi mwenyewe nimebaki nashangaa sijui amejulia wapi huyu haha
Au Mkatalunya kampasia pasi ndefu
Sema ukweli banaAnapenda kulialia huyu
Ya ngoswe nawaachia mieeAcha tu,we chabo utamjua kiaina
Hahhahaha hazijavuja bwanaHeh
Hahaha aiseee,siri za kambi zmevuja aise
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio mtoto mlito
Haaaaa shem bwana kwahiyo unataka kujikanaHii Mkatalunya, umeipata wapi Shem wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenyewe mnaona siri baba wawiliBro,mimi mwenyewe nimebaki nashangaa sijui amejulia wapi huyu haha
Nipo sana tu itakuwa tunapishanamkwe umekua adimu kweli siku hizi [emoji2]