Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni vipi naweza kunogesha Furahisha na pendo likolee

Nieleza kitu gani sijafanya au nafanya nakosea

Niwapi nitashika
ukaridhika Burudika na pendo liendelee
 
Mapenzi ya upepo
Ona bendara mama we
Mwenzako moto Hauzimi!

hauzimi!
Mwenzako moto Hauzimi
 
Mwanzo ulisemaaaa Nakuchenguaaa
Unanimiss hata kidogo
Upotezi dakika wala masaa
Na ukasemaaaa... Me ntateuaa
Na tena kwenye mechi nakiwasha [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mamii umezima data Mwenzako mtandao usje ukataa
Bila wewe siwezi Mapenzi na ukija
kuniacha Utaniachia utata

Jirudi kama zamani Penzi liwe shatashata
Kuliko kunifanya kambumbu mwenyewe Ukaniacha wengine ukafata
 
Back
Top Bottom