Makapuku Forum

Asante Shunie kwa Je Wajua, huwa nikisoma tu kipengele hiki japo kwa kuchelewa huwa hata siwezi kuuliza swali langu muhimu la Je Kuna Jipya?

Usiku mwema wadau mlio kwenye saa za kulala na kwa kuwa JF ni kama koloni la mama Lizy II kuna wengine humu kwao ni saa tano asubuhi.
 
Mama lizy 11 ndio nani binamu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…