Makapuku Forum

Mi nilikimbizwa nchini kwa kashifa ya kuwa no beberu na nashirikiana na mabeberu wenzangu kuhujumu matumbo ya watu
...duh, nchi imekosa kipaji kumbe wewe ni mkimbizi!? Kwa hiyo unakimbia sana[emoji848], taifa linatafuta wakimbiaji wa marathoni wewe unakuwa mkimbizi (mkimbiaji) wa Malawi. Sio uzalendo na una hulka za kibeberu wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…