Makapuku Forum

Hahahhahha na yeye alipewa ban khaaa na anavyoogopa ban

Nacheka mm kama mazuri jamani naona mods sisi tuliokuja mwishoni wametuonea huruma
Yaani fasta uzi ulitembea huo. Kumbe Mods wanatuona. Walichofanya walifuta vyote wakaacha vichache. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ila nilicheka sana mana nataka kulog out haitaki nikasema leo kazi ipo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani fasta uzi ulitembea huo. Kumbe Mods wanatuona. Walichofanya walifuta vyote wakaacha vichache. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ila nilicheka sana mana nataka kulog out haitaki nikasema leo kazi ipo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha kumbe pale tulivyokuta post zilishafutwa

Sasa mods wakirudi tena watatupa ban sisi
 
Hahahaha kumbe pale tulivyokuta post zilishafutwa

Sasa mods wakirudi tena watatupa ban sisi
Ndio zilikuwa zimefutwa.

Sidhani kama mtapewa Ban sababu hata wale waliopewa Ban jana wamerudi bado wanacharuana na mleta uzi. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ndio zilikuwa zimefutwa.

Sidhani kama mtapewa Ban ababu hata wale waliopewa Ban jana wamerudi bado wanacharuana na mleta uzi. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahahaah kitachoendelea ule uzi naona kufungwa tu ila jf inanipa raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…