Sijambo habari yakoMrembo shikamoo
Njema kabisa nahisi kukumisiSijambo habari yako
Sasa kwa nn unazidisha halafu unajua unakuja kutesekaasante insta babe
mtekaji alikuwepo na alijaribu nusu glass yakamshinda
hii kwikwi hata ninywe maji haiwez kuisha huwa inandoka yenyewe.... mara nyingi hutokea unazidisha kiwango cha ngum kumeza kuliko ulichotakiwa kukinywa [emoji23]
Asante sana karibuNjema kabisa nahisi kukumisi
Asante najikuta mgeni hapa kapukuAsante sana karibu
najuaga limit yangu sema jana kuna kamdudu kaliniingia nikasema namaliza chupaSasa kwa nn unazidisha halafu unajua unakuja kuteseka
Hayo mambo ya kujaribu jaribu hayo mavinywaji yamenishinda jamani
Mm acha nibaki na ushamba wangu kidogo nitatoka nitaingia kwenye wine basi vingine acha nionekane mshamba tu
Ww jikaribishe mwenyewe usingoje kukaribishwaAsante najikuta mgeni hapa kapuku
Sijui kama watu watanikaribisha
Aiseeee kumbe ulijua unachokifanya uje ujitesenajuaga limit yangu sema jana kuna kamdudu kaliniingia nikasema namaliza chupa
Sawa dadake wasalimie wote watakapo kujaWw jikaribishe mwenyewe usingoje kukaribishwa
Asante jamani na kwako piaSawa dadake wasalimie wote watakapo kuja
Nimepita tu niwasalimie
Uwe na siku njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinifanyie hivyo insta babeAiseeee kumbe ulijua unachokifanya uje ujitese
Pole yangu nairudisha
Hapana insta babe najuta kukupa pole yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinifanyie hivyo insta babe
Nakusalimiaaaaa mimiiiiiiiHapana insta babe najuta kukupa pole yangu
Boss wangu mm wa peke angu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nakusalimiaaaaa mimiiiiiii
Hahahahahah bosiiiiii kipenziiiii wa mieeee nayamisiiiiii makopaaa ya jana tuuuu...Boss wangu mm wa peke angu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Niko nasubili ile ahadi ya jana [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hahahahhaha yalitoka moyoni yale boss wanguHahahahahah bosiiiiii kipenziiiii wa mieeee nayamisiiiiii makopaaa ya jana tuuuu...
Ahadiiii umeshindwaaaa wewe
Tupo kwenye bustani peke yetu halafu mahaba kama kilo moja!!Ebu nidanganye umeniotaje eti
Dada kuna uzi umeniquote mwenzangu umenipatisha Ban jana hivyo hata sijataka kuandika tena.Hahahahhaha yalitoka moyoni yale boss wangu
Kweli nakubali nimeshindwa ahadi basi naomba tu nitumiwe nipunguze shida zangu najua zipo [emoji134][emoji134][emoji134]
HaahhahaTupo kwenye bustani peke yetu halafu mahaba kama kilo moja!!
Uwiiiii usiniambie jamaniDada kuna uzi umeniquote mwenzangu umenipatisha Ban jana hivyo hata sijataka kuandika tena.
Tulipata Ban watu kama 08 hivi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]