Makapuku Forum

[emoji38][emoji38]nimezipokea salam bila kinyongo na asante sana..

Sema hapo kwenye mambo yetu ndo umeharibu [emoji45] (umenikumbusha machungu nilikwishasahau )

Niko poa sana nashkuru mpk sasa,
Je wewe na familia, ?

....mimi na familia kwa kweli uonge mbaya, tuko vizuri sana, yaani hapa nimekaa natunza njaa tu ili kukicha basi tupige mpunga wa girigiriani, maandazi, sambusa, wali nazi. Asant kwa salamu zako.

Dalili za yale mambo yetu ambayo huwa nikipata hela tu nafall kwako zinaonekana kuwa nzuri. Waziri mkuu kasema tutalipwa

NB Huto tumaandishi tudogo mwingine haruhusiwi kusoma, ni kwa ajili ya usalama wangu baada ya kutotoa zawadi ya sikukuu kwa my Telemundo na mama yenu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah, basi sawa mida ndo hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…