Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,464
- 95,976
Acha nikwambie tu siri ya moyo wangu [emoji182][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hata nikificha mboni zitaniumbua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bana wee Mungu huyu, ila JF hkn anayenipenda, ila upo ninayekupenda ambae ni wewe Shunie, na yupo asiyenipenda ambaye ni wewe huyo huyo Shunie
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie hata ukiwa kikongwe sikuachi ng'oo
MTC | 101| [emoji769]
We mzeee ebu uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niambie tu,mie ni wako
MTC | 101| [emoji769]
Nilikuona jumapili
Mutoto una sauti ya kumtoa nyoka pangoniJamanii jamanii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo unawakana eenh wanaokupenda
We mzeee ebu uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
He heWapi ?
MTC | 101| [emoji769]
Nacheka mm hii sauti ya chura imekuwa ya kumtoa mtu pangoniMutoto una sauti ya kumtoa nyoka pangoni
MTC | 101| [emoji769]
He he
HahhahhaWala si wakani wajitokeze, mbn mie najitokeza kwako ,na hunipendi ?
MTC | 101| [emoji769]
Nacheka mm hii sauti ya chura imekuwa ya kumtoa mtu pangoni
Acha tufunge huo mjadalaHe he ndio wapi ?
MTC | 101| [emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie hata ukiwa na Sauti ya tembo ,itanitoa tu pangoni
MTC | 101| [emoji769]
Hahhahha
Mbona 'wanajitokezaga
Hapa nasubiri baada ya nywele za darling,nasubiri mguu[emoji23][emoji23][emoji23]We baba wawili kwa kubadili avatar tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmmh ,siwaonagi, mie nakuonaga we we tu ,pamoja unanipa vya mbavu ,ila sikomi
MTC | 101| [emoji769]
WoooihBabe nipe mm tu vilivyo uvunguni
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mwenzio kwenye mapenzi nishahenyeka