ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Hahahahaha pole jamaniTukifungwa mnione kesho huwa kesho yake sionekani kukimbia kelele
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha pole jamaniTukifungwa mnione kesho huwa kesho yake sionekani kukimbia kelele
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahahaEbu uko
Shkamoo
Jamani mi mdogo wa tumosaShkamoo



sasa shikamoo za nini? Shikamoo dadaake shunie 


Hebu hukoooJamani mi mdogo wa tumosasasa shikamoo za nini? Shikamoo dadaake shunie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu hukooo
Shkamoo mezaa kijiji mie?!




dada wa shunie mbona hivyoo unatabia Kama za mdogo ako Baki na shkamoo yako....dada wa shunie mbona hivyoo unatabia Kama za mdogo ako
Ebu pokea basi shkamoo yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bwana
ShkamooHahahaha
MTC | 101|![]()
Sijambo mimi rafikiHahahaha, marhabaaaa hujambo Rafiki
MTC | 101|![]()
Sijambo mimi rafiki

Weekend iko poa kabisaaa, after church nimelala tuuNafurahi km hujambo Rafiki, week end inaendaje Leo
MTC | 101|![]()