Usinambie binamu...nimerudishiwa nusu, subiri pasaka nakuletea zawadi ya sikukuu. Utaipenda sana, sasa hivi andaa njaa tu na ikiwezekana anza kwaresma wiki hii ili ukifungulia tu unakutana na mazawadi toka kusini kunakopatina ajiji la maraha Ntwara
Salama kabisa...[emoji120][emoji120][emoji120]uko na uzima eeh
Yuko vizuri
Tumekuja kwa hisani ya watu wa Tanzania..Niliwamiss tu ndo maana nmewaita
Ni njema sijui ulipo
[emoji120][emoji120][emoji120]nashukuru mmeitika wito
Me nalala wapendwa muwe na usiku mwema
Lala salama binamuMe nalala wapendwa muwe na usiku mwema
Poleni
Asante binamu[emoji120][emoji120]Lala salama binamu
Abeeeeeee
WoiiiiiiiAbeeeeeee
Umerudishiwa nn binamu...nimerudishiwa nusu, subiri pasaka nakuletea zawadi ya sikukuu. Utaipenda sana, sasa hivi andaa njaa tu na ikiwezekana anza kwaresma wiki hii ili ukifungulia tu unakutana na mazawadi toka kusini kunakopatina ajiji la maraha Ntwara
Binamu umeshalipwa nusu....hela nimechukua nusu, nyingine bado si umesikia kwamba kuna masuala ya ubora eti korosho zimewekewa madaraja utasema tumbaku au pamba. Miaka yote tuliuza bila hizi longolongo mjomba.
sasa subiri Pasaa ifike nikutumie zawadi ya sikukuu. Ndugu yako sina hiyana kwenye zawadi
Nini etiWoiiiiiii