Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Kwema mjomba??Mjomba mjomba
[emoji113] [emoji113] [emoji8] [emoji8] hi dearHi[emoji113][emoji113][emoji113] Binamu!
Mchana mwema baba wawili
[emoji120] [emoji120] [emoji120]nko swafiii kabisa
Shikamoo kaka akeKwema mjomba??
Habar za kutekwa
Heshima yko kaka yngu[emoji120] [emoji120]Kitanda hakizai haramu
Mandalizi yako ndio safari yako
Mwazo yako ndio jibu sahihi
Uelewa wako ndio hutafsiri jambo
Uvivu wako ndio njaa yako ya kesho
Uaminifu wako ndio siraha ya ushindi
Ukweli wako ndio uhakika wa unacho tarajia kupata
Upya wa fikira no upya wa mafanikio
Mi mzima dadake habar za hapo ulipoHeshima yko kaka yngu[emoji120] [emoji120]
Interesting! Mbona kwangu ipo sawa tu, au app yako inafanya machejoNaonaaa unatumiaa avatar ya Tumosa View attachment 1020057
Ni njema mnoMi mzima dadake habar za hapo ulipo
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kaanza lini lakiniNaonaaa unatumiaa avatar ya Tumosa View attachment 1020057
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Interesting! Mbona kwangu ipo sawa tu, au app yako inafanya machejo
AsanteNi njema mno
Aaaaah macho yako yamezeekaNaonaaa unatumiaa avatar ya Tumosa View attachment 1020057
Marhaba dada yangu,,kwema huko?Shikamoo kaka ake