Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Na ww piaMuwe na asubuhi njema wapendwa
Nashukuru mmeburudika.
Sijambo sana Mary, asante kunijulia khali.
Korosho bado tunasubiri kulipwa.
Afu huwa sijui kwanini, kila nikiwaza hela za korosho najikuta nakupenda ila nikiwa sina hela za korosho basi hamu zangu zinaenda kwa mwingine kabisa.
Mzima wewe
HahahahaNaanzaje kuachika kifwala binamu
Haachiki mtu
MmmmmNashukuru mmeburudika.
Sijambo sana Mary, asante kunijulia khali.
Korosho bado tunasubiri kulipwa.
Afu huwa sijui kwanini, kila nikiwaza hela za korosho najikuta nakupenda ila nikiwa sina hela za korosho basi hamu zangu zinaenda kwa mwingine kabisa.
Mzima wewe
Kwema jirani
Salama kabsa,hope ni mzima na unaendelea na majukum yako ya kila siku
Mi mzima tu, haya jirani asante kwa salamu majukumu mema kwakoSalama kabsa,hope ni mzima na unaendelea na majukum yako ya kila siku
Aje tuu kuanzia kesho 1st Feb mambo mazurimaana huu mwezi unaoisha leo wenye sk 700 umetunyoosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi unaenda mbele na kurudi nyuma.
Aje baby wetu ss januari ameenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana jirani
Miss u