Hivi wanyaturu na wanyiramba tofauti eenh nilijua mnyaturu unipe salaam yao kwa kilugha
Hahahaha mnyiramba shangaz,unakijua eeh
Poa babe maana uzi unatembea huo
Marahaba toto mzima wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhaha upo mmu uko
Eeh wapo tofauti shangaz,unakijua kinyaturu eehHivi wanyaturu na wanyiramba tofauti eenh nilijua mnyaturu unipe salaam yao kwa kilugha
Hahahaha acha nipo naisubir kwa hamu zote hapa