Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwanza nmegundua Amenn ni mke wako natural na unaishi naye nyumba moja..
Umemfungulia ID hapa li unioshee.
Sitaki yena ligi ndogo na wewe
Kuna siku nilidanganya kwamba ni ME kina Jambilo wakaachia ngazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
 
Kuna siku nilidanganya kwamba ni ME kina Jambilo wakaachia ngazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi na wewe ndo ukapatia advantage hapo hapo...
Kweli kila kitu ni fitna.
Maana hata mm nmemfitini sana youngblood
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi na wewe ndo ukapatia advantage hapo hapo...
Kweli kila kitu ni fitna.
Maana hata mm nmemfitini sana youngblood
Km ni soka basi ni counter attack japo ball possession 10% lkn unafunga goli 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
 
Jonax nitakurudisha rumande[emoji23] [emoji23]
Daah! Kwel mm nmsahaulifu yani nmetoka kifungoni masaa machache yaliyopita alaf nataka tena kurudia makosa?
Alaf na ukiangaliani wewe wewe mwenyewe uliyenishauri jinc ya kuepukana na hizi Ban.
Sorry sanaaaa[emoji120] [emoji120]
 
Km ni soka basi ni counter attack japo ball possession 10% lkn unafunga goli 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Kama ni striker basi unakuwa Diego Costa yani unacheza rafu na fitina nyingi lakini mwisho wa siku tunataka magoli tuuu
 
Wapi ex wa mtu
e7a581fe0cd39b2c77a7ef06c99848e5.jpg
 
Back
Top Bottom