Makapuku Forum

 
Nimewamiss tu mm shangazi yenu nawapenda jamani namalizia mfungo week hii tutaonana wapenzi

Nimekumiss aunt yangu

...eeh, kumbe uko kwenye maombi!!! Mbona sikulijua hili mapema nikuletee raha zangu uziombee.

kwanini sikujua hili mapema jameni, yaani hakuna hata mtu mmoja wa kuniambia. Watu wabaya sana.

haya sasa unamalizia maombi, je yalikuwa maombi ya mnyororo au ya kuungaunga kama sala za maskini
 
Heshima yko binamu
 
Kweli binamu niziombee raha zako jamani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…